Menejimenti ya Kampuni ya Udalali imefanya maamuzi ya kubadilisha Mfumo uwe katika lugha ya Kiswahili kuanzia siku ya tar. 24/08/2024, lengo kuu ni kumfikia kila Mtanzania aweze kuelewa kwasababu ni ya kwao..
Ili kufanikiwa katika DalaliaTz, ni lazima kila wakati na mara kwa mara utangulize maslahi ya wateja wako. Unapofanya hivyo, mahitaji yako ya kibinafsi yatatimizwa zaidi ya matarajio yako makubwa.

Hakuna maoni.