Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF ya 48) yatafanyika katika Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2024. Kaulimbiu ni "Tanzania; Your Best Destination for Business and Investment" Ambayo ina maana kuna Fursa Nyingi, Mazingira ya Biashara Imara na Yanayofaa kwa ukuaji wa Biashara na Uwekezaji. #dalali #dalalia #dalaliatz.
Ili kufanikiwa katika DalaliaTz, ni lazima kila wakati na mara kwa mara utangulize maslahi ya wateja wako. Unapofanya hivyo, mahitaji yako ya kibinafsi yatatimizwa zaidi ya matarajio yako makubwa.

Hakuna maoni.