Tafuta nyumba, chumba, hosteli, hoteli, vyumba vya kulala, ofisi na mengine mengi kwenye DalaliaTz.
Tafuta maelezo ya mali kutoka kwa chanzo cha data cha kina zaidi.
#Tunakutafutia, uishi kifahari.
Unatafuta nyumba au chumba cha kupanga cha aina gani?
Tunatoa huduma kamili, uhakika na uaminifu kwenye:
Tunasaidia Wanafunzi, wafanyakazi, wamiliki wa biashara au mtafutaji mwingine anayesafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa masomo, kuhamishwa au kazi ya kibinafsi.
Tunasaidia Wamiliki wa Nyumba au wamiliki wa Vyumba kusimamia Nyumba zao, Madalali na habari za wapangaji kidijitali.
Tunapunguza usumbufu na Utapeli kwa wapangaji mtaani. Pia, tunakusaidia kuwa na uhakika wa kwenda katika mazingira husika ya kigeni.
Huduma zingine ni huduma za Stationery, Huduma za uwakala wa mitandao ya simu na huduma za bando la internet kwa waliopo karibu na ofisi yetu.
Tunaelewa thamani na umuhimu wa mahali unapopendelea zaidi!
Habari za DalaliaTz zinazokuzunguka na matangazo mengine.
Nyumba ipo kongowe mlima wa mzinga kuanzia sh milioni 20 maongezi yapo, Ina chumba kimoja sebule jiko na choo na Kuna nafasi yakuo... Soma Zaidi...
Menejimenti ya Kampuni ya Udalali imefanya maamuzi ya kubadilisha Mfumo uwe katika lugha ya Kiswahili kuanzia siku ya tar. 24/08/2... Soma Zaidi...
Huu ndio Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwl. J.K Nyerere (SabaSaba) Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. Takribani nchi 20 za SADC... Soma Zaidi...